Always learn and practise makes perfect its almost on month since i started my own project in my university to educate and enlight my fellow collageous about bitcoin
I was saw surprised see a young lady her name is princess for great answer she provided yesterday on the bitcoin challenge questions i asked and post on twitter ,facebook,linkedin,whatsaap groups ,whatsaap status and instagram to see the knowledge of tanzania ๐น๐ฟโก๏ธโ๐ฟPeople on bitcoin
See how she repled in our swahili language she tried her best for real i love it
๐๐พ๐๐พ๐๐พ
Swal 1
Bitcoin ni nin?
Bitcoin ni aina mpya ya sarafu. Ni aina au mfumo mpya wa fedha.
Lakini tofauti na sarafu nyinginezo, sarafu hii inaishi na kupatikana kupitia mfumo wa intaneti pekee.
Swali la 2
Swal2
wallet ya satoshi ni programu inayopatikan kwenye simu aina ya ios na android ambayo inakazi ya kutuma na kupokea malipo ya bitcoin na umeme,unaweza kutuma umeme kwa sauti au ukatuma moja kwa moja kwa kutumia anwani ya bitcoin au ukakopi moja kwa moja kwenye pochi yako
Swali 3
Sats ni sehemu ndogo ya bitcoin ambapo bila sat auwez kupat bitcoin
Bit coin moja ni sawa na sats 100,000,000
Swali 4
Mfumo madaraka ni mfumo unajiendesha wenyew bila kutegemea mtu yoyote kama blockchain technology
Mfumo kati ni mfumo unaoendeshwa na watu au kundi la wat kama serikali, banks
Fiat money ni ela ya karatasi ambayo ina milikiwa na serikali ndo maan ukijulikan umechoma pesa serikali lazima ikuchukulie hatua hat kam ulikuw unazimiliki wew lakin bitcoin ni pesa ya kwako mwenye na pia hat uwe nazo nyingi hakun atakay kuuliza. Na pia pesa zijazo zitakuwa ni bitcoin kwa maaan ni pesa ambayo ni ya kwelly na inathamani kuliko fiat money.
Swal 6
Pochi za wavuti, pochi za mezani, pochi za rununu, pochi za vifaa na pochi za karatasi
Swali 7
Satoshi nakamoto ni mwanzilishi wa blockchain technology na alianzisha mwak 2009 bei ya kwanz ya bitcoin ilikuw 0.008$
Swali 10
Bitcoin ni ya kila mtu kwa sababu ni real money na pia kila mtu anawez kuimiliki hat kama ni mtoto lakini fiat money ni pesa ya serikali na pia taifa lingine aliwez kumiliki pes ya nchi nyingin lakin bitcoin aiangalii taifa kwasababu ni pesa ya kwelly ambayo ipo kwenye mfumo wa blockchain hata ukiwa na bitcoin mia hakuna atakay kuuliz but ukiwa na fiat money hata milion mia ukitak kuhifadhi benki lazima watakuuliza unafany kaz ghan mpak unamiliki pes nyingi but kwenye bitcoin hakuna atakaye kuuliza
She tried her best for real ,ladies and young girls wake up and start the journey like princess ๐น๐ฟโก๏ธโ๐ฟ Bitcoin is the only freedom money .